Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Mambo ya Kisheria Nchini Armenia

AGOSTI 9, 2016

Mashahidi wa Yehova wa Kwanza Kuandikishwa Kwenye Programu ya Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Armenia Wamaliza Wajibu Wao

Mashahidi nchini Armenia wanaweza kutimiza wajibu wao serikalini kwa njia ambayo inawafanya waheshimu dhamiri zao na kuinufaisha nchi na raia wake.

FEBRUARI 5, 2015

Mpango wa Utumishi wa Badala wa Kiraia Wafanikiwa Nchini Armenia

Mashahidi wa Yehova wanaoshiriki katika programu hiyo, wafanyakazi wenzao, na wenye mamlaka na wasimamizi wa programu hiyo waeleza kuhusu mafanikio yake.