Hamia kwenye habari

Mambo ya Kisheria na Haki za Kibinadamu

KAZAKHSTAN

Kazakhstan Imesitisha Utendaji wa Makao Makuu ya Mashahidi Nchini Humo

Mahakama jijini Almaty, Kazakhstan, imesitisha utendaji wa Kituo cha Kikristo cha Mashahidi wa Yehova nchini Kazakhstan kwa miezi mitatu.

TURKMENISTAN

Je, Turkmenistan Itatekeleza Uamuzi wa Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu?

Serikali ya Turkmenistan imeagizwa iheshimu mikataba yake ya kulinda haki za kibinadamu, kutia ndani uhuru wa mawazo, dhamiri na ibada.

URUSI

Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Urusi Umekuwa na Matokeo Mabaya kwa Mashahidi wa Yehova

Uamuzi huo umewashushia heshima Mashahidi na umewapa baadhi ya watu na maofisa wa serikali ujasiri wa kuwatendea Mashahidi isivyofaa hata zaidi, kama mifano iliyoelezwa mwanzoni ambayo ilitokea karibuni.

KOREA KUSINI

Mahakama ya Korea Kusini Yatambua Haki za Kibinadamu za Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Mahakama hiyo ilitoa uamuzi kwamba Mamlaka ya Kusimamia Wanajeshi haipaswi kufunua habari za kibinafsi za wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri katika tovuti yao rasmi.

MISRI

‘Ninatarajia Kuona Marufuku Isiyo ya Haki Ikiondolewa’

Miaka mingi iliyopita Mashahidi wa Yehova walifurahia uhuru wa ibada nchini Misri na walisajiliwa kuwa dini inayotambulika. Leo Mashahidi hawafurahii tena uhuru huo.

URUSI

Mashahidi wa Yehova Wamekata Rufaa Dhidi ya Uamuzi Usio wa Haki wa Mahakama Kuu ya Urusi

Rufaa inaomba uamuzi wa awali ubatilishwe. Imekazia kwamba hukumu hiyo haikuzingatia uthibitisho halisi na kwamba Mashahidi wa Yehova hawana hatia ya kufanya utendaji wowote unaochochea msimamo mkali.

KAZAKHSTAN

Kazakhstan Inakandamiza Uhuru wa Ibada na Kumhukumu Teymur Akhmedov

Licha ya hali mbaya ya afya ya Bw Akhmedov, mahakama ya Astana ilimhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani kwa sababu ya kuwahubiria wengine kuhusu imani yake.

URUSI

Mahakama Kuu Imeamua Utendaji wa Mashahidi wa Yehova Ni Kosa la Jinai Nchini Urusi

Mahakama Kuu iliunga mkono madai ya kupigwa marufuku kwa Kituo cha Usimamizi pamoja na Mashirika 395 ya Kidini yaliyopo nchini humo.