Hamia kwenye habari

Mambo ya Kisheria na Haki za Kibinadamu

KOREA KUSINI

Mashahidi Nchini Korea Kusini Wapeleka Ombi kwa Rais: Suluhisha Suala la Kukataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Mashahidi wanasubiri maofisa waifikirie upya sera ya serikali iliyodumu kwa muda mrefu kuhusu wale wanaokataa kujiunga na utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri.

KOREA KUSINI

Mahakama za Korea Kusini Zinajitahidi Kutafuta Suluhisho kwa Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Mahakimu nchini Korea Kusini wanatafuta utumishi wa badala kwa ajili ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri badala ya kuwahukumu kifungo.

ARMENIA

Jinsi Armenia Ilivyotambua Haki ya Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Historia ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri nchini Armenia inaonyesha jinsi maamuzi ya Mahakama ya Ulaya yalivyotokeza mabadiliko makubwa ya matendo ya serikali dhidi ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.

URUSI

Rufaa Yakataliwa​—Mahakama ya Urusi Yaunga Mkono Uamuzi wa Kuitangaza Biblia Kuwa na “Msimamo Mkali”

Sasa ni kosa la jinai kwa mtu yoyote kuwasambazia wengine Tafsiri ya Ulimwengu Mpya. Hata tu kuwa na nakala ya Biblia hiyo kunaweza kumweka mtu kwenye hatari ya kutozwa faini kubwa au jambo lingine baya zaidi.

URUSI

Wenye Mamlaka Nchini Urusi Wachukua Jumba la Kusanyiko la Mashahidi wa Yehova

Uporaji huo umetukia juma moja baada ya uamuzi wa mahakama ambao unatishia kuchukuliwa kwa jengo lililotumiwa na Mashahidi wa Yehova kama makao yao makuu ya taifa, lililoko karibu na jiji la St. Petersburg.

UKRAINIA

Uhuru wa Ibada Uko Hatarini Mashariki mwa Ukrainia

Mashahidi wa Yehova wanateswa na uhuru wao wa ibada uko hatarini katika baadhi ya maeneo ya Luhansk na Donetsk.

AZERBAIJAN

Mahakama ya Azerbaijan Yaamuru Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova Walipwe Fidia

Mahakama ya wilaya ya Baku imeagiza kwamba Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova walipwe fidia kwa sababu ya kufungwa isivyo haki kwa miezi 11.