Urusi

Septemba 3, 2021

Urusi Yamkamata Dada Olga Opaleva Mwenye Umri Mkubwa Kinyume cha Sheria

Jifunze jinsi mwanamke mwenye umri mkubwa nchini Urusi ametendewa kinyama kwa sababu tu ya kutangaza imani yake ya kidini.

Agosti 20, 2021

Kifungo Kisicho cha Haki cha Dada Valentina Baranovskaya na Mwana Wake, Roman

Jifunze jinsi wenye mamlaka nchini Urusi wanavyomtendea kwa ukatili mwanamke mwenye umri wa miaka 70 na mwana wake kwa sababu tu ya kufuata imani yao ya Kikristo kwa amani.