Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Habari za Ulimwenguni Pote

SEPTEMBA 27, 2018

Martin Boor: Aondolewa Mashtaka na Slovakia Miaka 90 Baada ya Kufungwa

Mahakama ya Slovakia yamwondolea mashtaka Martin Boor, aliyehukumiwa kuwa mhalifu kwa msimamo wake wa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri, miaka 90 baada ya hukumu hiyo kutolewa.

SEPTEMBA 27, 2018

Mahakama Katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia Zawaondolea Mashtaka Waabudu Wenzetu

Kuanzia Mei 1, 2017 hadi Januari 8, 2018, mahakama katika Jamhuri ya Cheki na Slovakia zimewaondolea mashtaka ndugu zetu waliohukumiwa kuwa wahalifu wakati uliopita kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri au kwa kushiriki kazi ya kuhubiri.

SEPTEMBA 24, 2018

Madhara ya Tufani Mangkhut