Peru

OKTOBA 9, 2018

Ubalozi wa Thailand Watoa “Shukrani Nyingi na Pongezi” kwa Mashahidi wa Yehova Nchini Peru kwa Kuwasaidia Raia wa Thailand Waliofungwa

Wawakilishi kutoka kwenye Ubalozi wa Thailand waliwatembelea Mashahidi wa Yehova nchini Peru kuwashukuru kwa kazi yao na msaada wa kibinafsi wanaowapa wafungwa ambao ni raia wa Thailand.