Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Mexico

FEBRUARI 6, 2018

Mashahidi wa Yehova Wanaoishi Jalisco, Mexico, Wamefukuzwa Kutoka Nyumbani Kwao Katika Jamii ya Huichol

Mashahidi wa Yehova walishambuliwa na umati na kufukuzwa kutoka nyumbani kwao. Wamekata rufaa kwa mamlaka ya kisheria ili wapate kitulizo kutokana na mnyanyaso huo wa kidini.

DESEMBA 1, 2017

Mashahidi Wanakaribia Kuanza Kazi Kubwa ya Kujenga Upya Nchini Guatemala na Mexico Baada ya Matetemeko ya Ardhi

Mashahidi wa Yehova wataanza kazi kubwa ya kutoa msaada ili kuwasaidia Mashahidi wenzao nchini Mexico na Guatemala ambao waliathiriwa na matetemeko makubwa sana ya ardhi.

SEPTEMBA 12, 2017

Dhoruba Lidia Yapiga Mexico