Hamia kwenye habari

MEI 31, 2019
MAREKANI

Miami, Marekani (Kihispania)—Kusanyiko la Kimataifa la 2019 la “Upendo Haushindwi Kamwe”!

Miami, Marekani (Kihispania)—Kusanyiko la Kimataifa la 2019 la “Upendo Haushindwi Kamwe”!
  • Tarehe: Mei 24-26, 2019

  • Mahali: Marlins Park Miami, Florida, Marekani

  • Lugha ya Programu: Kihispania

  • Idadi ya Wahudhuriaji: 28,562

  • Idadi ya Waliobatizwa: 230

  • Idadi ya Wajumbe Kutoka Mataifa Mbalimbali: 4,600

  • Ofisi za Tawi Zilizoalikwa: Amerika ya Kati, Argentina, Bolivia, Brazili, Chile, Ekuado, Filipino, Hispania, Kanada, Kolombia, Kuba, Paraguai, Peru, Uingereza, Ulaya ya Kati

 

Ndugu na dada wa Miami wakiwakaribisha wajumbe

Watoto Mashahidi wapigwa picha nje ya eneo la kusanyiko

Ndugu Kenneth Cook, mshiriki wa Baraza Linaloongoza, akitoa hotuba ya mwisho Jumamosi

Watu wanne wakibatizwa

Wahudhuriaji wakiimba kwa sauti siku ya Jumamosi

Dada mwenyeji na mjumbe wakiwa katika mahubiri ya hadharani nje ya Kituo cha Kislak kwenye Chuo cha Dade Miami

Watumishi wa wakati wote wasimama kwenye uwanja wa kusanyiko wakati wa hotuba ya kumalizia ya Jumapili

Dada wenyeji wakijiandaa kuwapakulia wajumbe chorizo, empanadas, na paella kwenye tafrija

Akina dada wakicheza dansi ya kitamaduni ya Kihispania wakati wa kuwatumbuiza wajumbe jioni

Wajumbe wafurahia kutumbuizwa kwenye kituo cha kusanyiko katika eneo la West Palm Beach