Sikiliza mambo yaliyoonwa ya ndugu na dada nchini Malawi walioshiriki katika kampeni iliyofanywa ya kuandika barua. Baadhi yao wanakumbuka kampeni kama hiyo iliyofanywa kwa ajili ya nchi yao, katika miaka ya 1970.