Hamia kwenye habari

Habari za JW

Soma habari kwenye mtandao kuhusu Mashahidi wa Yehova. Kuna vifaa vya kuwasaidia wanasheria na wanahabari pia.

HABARI ZA ULIMWENGUNI POTE

Hali Baada ya Kimbunga Irma

Habari kutoka ofisi za tawi nchini Barbados, Jamhuri ya Dominika, Ufaransa, na Marekani.

MAREKANI

Mashahidi Nchini Marekani Wanakabiliana na Kimbunga Harvey

Maelfu ya Mashahidi wa Yehova walioathiriwa na dhoruba wanapata msaada kupitia kamati za kutoa msaada.

FINLAND

Mashahidi wa Yehova Waandaa Faraja Baada ya Shambulizi la Turku, Finland

Ofisi ya tawi ilipochukua hatua mara moja baada ya msiba, iliwafariji Mashahidi na wengine ambao si Mashahidi walioathiriwa na tukio hilo.

VENEZUELA

Mashahidi wa Yehova Nchini Venezuela Wanaendelea Kufundisha Biblia Licha ya Hali Ngumu Kiuchumi

Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova linahangaikia sana waabudu wenzao nchini Venezuela wanaokabili hali ngumu katika jamii na kiuchumi.