Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AGOSTI 10, 2015
ZIMBABWE

Kusanyiko la Kimataifa 2014—Mahojiano na Waziri wa Utalii wa Zimbabwe

Kusanyiko la Kimataifa 2014—Mahojiano na Waziri wa Utalii wa Zimbabwe

Katika mahojiano maalum yaliyofanywa kwenye makao makuu ya Mashahidi wa Yehova, Walter Mzembi, Waziri wa Utalii wa Zimbabwe, alizungumzia matokeo mazuri ya kusanyiko la kimataifa la Mashahidi lililofanyika Harare, Agosti 2014.