Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

AGOSTI 10, 2015
ZIMBABWE

Kusanyiko la Kimataifa la 2014—Mahojiano na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi ya Zimbabwe

Kusanyiko la Kimataifa la 2014—Mahojiano na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi ya Zimbabwe

Katika mahojiano yaliyofanywa New York, John Jubber, mwakilishi wa ofisi ya tawi ya Mashahidi wa Yehova nchini Zimbabwe, alizungumzia matokeo mazuri ya kusanyiko la kimataifa la Mashahidi lililofanyika jijini Harare, Agosti 2014.