Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Zimbabwe

AGOSTI 10, 2015

Mashahidi Nchini Zimbabwe Wafanya Makusanyiko ya Mwaka 2015 yenye Kichwa “Mwigeni Yesu” Mwaka Mmoja Baada ya Kusanyiko la Kimataifa la Kihistoria

Kusanyiko la kimataifa la mwaka 2014 lilizungumziwa sana katika vyombo vya habari nchini Zimbabwe, hali hiyo inafanya wengi watazamie kwa hamu makusanyiko ya eneo ya mwaka huu.

AGOSTI 10, 2015

Kusanyiko la Kimataifa la 2014—Mahojiano na Mwakilishi wa Ofisi ya Tawi ya Zimbabwe

John Jubber alizungumzia matokeo mazuri ya kusanyiko la kimataifa la Mashahidi lililofanyika jijini Harare, Agosti 2014.

AGOSTI 10, 2015

Kusanyiko la Kimataifa 2014—Mahojiano na Waziri wa Utalii wa Zimbabwe

Katika mahojiano maalum yaliyofanywa kwenye makao makuu ya Mashahidi wa Yehova, Walter Mzembi, Waziri wa Utalii wa Zimbabwe, alizungumzia matokeo mazuri ya kusanyiko la kimataifa la Mashahidi lililofanyika Harare, Agosti 2014.