Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

SEPTEMBA 18, 2013
HABARI ZA ULIMWENGU

Programu Mpya ya Lugha ya Ishara Inapatikana!

Programu Mpya ya Lugha ya Ishara Inapatikana!

Kupitia programu mpya ya JW Library Sign Language unaweza kupakua na kucheza video za lugha ya ishara kutoka kwenye Tovuti ya jw.org. Unaweza kuzitazama hata ikiwa hujaunganishwa kwenye Intaneti. Programu hiyo ina picha zenye rangi za kuvutia na ni rahisi kuitumia. Inaweza kutumiwa kwenye iPad®, iPhone®, na iPod touch®, pamoja na vifaa vya Android™ kuanzia 3.0 na vya kisasa zaidi. Wakati ujao, programu inayoweza kutumiwa kwenye Windows 8 itatolewa.