Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Ujerumani

OKTOBA 21, 2016

Mwadhimisho wa Kukombolewa kwa Wafungwa wa Brandenburg Wakazia Hasa Mashahidi wa Yehova

Kati ya mwaka wa 1940 na 1945, Mashahidi 127 waliuawa katika gereza la Brandenburg an der Havel, Ujerumani. Habari kuwahusu ilitajwa katika mwadhimisho huo.

JULAI 16, 2015

Maofisa Wawapatia Tuzo Baba na Mtoto kwa Kusaidia Kuwaokoa Wanaume Watatu Kutoka Gari Lililowaka Moto

Shahidi wa Yehova aitwaye Andreas Bonk, pamoja na mtoto wake Jorim walipewa tuzo baada ya kutenda kwa ujasiri na bila ubinafsi.

SEPTEMBA 12, 2014

Makumbusho ya Sachsenhausen kwa Ajili ya Shahidi wa Yehova Aliyeuawa na Wanazi

September 16, 2014, shirika la Wakfu wa Ukumbusho wa Brandenburg litakumbuka miaka 75 tangu August Dickmann alipouawa kwenye kambi ya mateso ya Sachsenhausen. Alikuwa mtu wa kwanza kuuawa hadharani na Wanazi kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu.