Katika video hii fupi, Jean-Claude Pons, mwakilishi wa Mashahidi wa Yehova nchini Ufaransa, anaeleza kwa nini serikali ya Ufaransa iliwarudishia Mashahidi wa Yehova zaidi ya dola 8,000,000 (euro milioni 6)