Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

NOVEMBER 7, 2012
MAREKANI

Tufani Sandy Yaipiga Pwani ya Mashariki ya Marekani

Tufani Sandy Yaipiga Pwani ya Mashariki ya Marekani

Kufikia Novemba 2, 2012, hatujasikia kuhusu vifo vyovyote kati ya Mashahidi, lakini mmoja amejeruhiwa vibaya. Kulikuwa na uharibifu mdogo sana katika makao makuu ya Mashahidi huko Brooklyn. Nyumba 61 za Mashahidi na Majumba 12 ya Ufalme yaliharibiwa vibaya na mafuriko au pepo kali. Zaidi ya Mashahidi 1,100 walihamishwa mapema kabla ya dhoruba hiyo. Bado kiwango cha uharibifu kinaendelea kukaguliwa, na wajitoleaji Mashahidi wanashirikiana na wenye mamlaka wa maeneo yaliyoathiriwa ili kushughulikia mahitaji ya waabudu wenzao na watu wengine walioathiriwa.

Media Contact: J.R. Brown, Office of Public Information, tel. +1 718 560 5000