Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

Kroatia

JANUARI 14, 2015

Mashahidi Wapata Itikio Zuri Katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu

Mashahidi wa Yehova walishiriki katika maonyesho bora zaidi ya kibiashara nchini Kroatia, ya Interliber 37th International Book and Teaching Appliances Fair, Novemba 11-16, 2014.

JULAI 25, 2014

Mashahidi Watoa Misaada Katika Nchi za Balkani

Wajitoleaji walichukua hatua mara moja ili kuwasaidia na kuwafariji waathiriwa wa mafuriko yaliyotokea Mei 2014, mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea Bosnia-Herzegovina, Kroatia, na Serbia.