Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Korea Kusini

DESEMBA 12, 2014

Habari Kuhusu Kusanyiko la Kimataifa: Mashahidi Watoa Biblia Jijini Seoul

Mashahidi wa Yehova walitoa toleo lililorekebishwa la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika Kikorea katika Kusanyiko la Kimataifa la “Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme wa Mungu!”

FEBRUARI 14, 2014

Wakorea Waanza Kubadili Maoni Kuhusu Kukataa Utumishi wa Kijeshi kwa Sababu ya Dhamiri

Idadi inayoongezeka ya raia wa Korea Kusini sasa wanapendelea utumishi wa badala wa kiraia kuliko kuwafunga gerezani wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.

NOVEMBA 27, 2012

Mashahidi wa Yehova Waadhimisha Miaka 100 Nchini Korea Kusini

SEOUL, Korea—Novemba 2012 ni mwezi wa pekee kwa Mashahidi wa Yehova zaidi ya 100,000 nchini Korea Kusini kwa kuwa wanaadhimisha mwaka wao wa 100 nchini humo.