Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Japani

NOVEMBA 26, 2014

Mashahidi wa Yehova Wasaidia Waathiriwa wa Maporomoko ya Ardhi Huko Hiroshima

Mvua kubwa huko Hiroshima iliyosababisha maporomoko ya ardhi yaliyoua watu 74 hivi na kuharibu zaidi ya nyumba za watu 1,600. Ofisi ya tawi ya Japani ilipanga wajitoleaji wasaidie kufanya usafi.

JUNI 01, 2012

Video Fupi: Japani—Misaada Yaendelea Kutolewa Mwaka Mmoja Baadaye!

Mashahidi wa Yehova waendelea kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi na tsunami.