Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Filipino

APRILI 26, 2017

Mashahidi Wapanga Kazi ya Kujenga Upya Baada ya Kimbunga Nock-Ten

Mashahidi wanafanya kazi ya kutoa msaada kwa kurekebisha mamia ya nyumba baada ya kimbunga kibaya sana kukumba nchi ya Filipino mwishoni mwa mwaka wa 2016.