Vipimo vya ufikikaji

Chagua lugha

Hamia kwenye menyu ya pili

Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Chile

MEI 15, 2015

Mashahidi Watoa Msaada Baada ya Mafuriko Nchini Chile

Mara moja baada ya mafuriko na maporomoko makubwa ya ardhi nchini Chile, Mashahidi wa Yehova jijini Copiapó walifanyiza kamati ya kutoa msaada.

MEI 2, 2014

Moto Mkubwa Wasababisha Uharibifu Jijini Valparaíso, Chile

Moto mkubwa ulisababisha uharibifu mkubwa sana katika jiji la kihistoria lenye bandari la Valparaíso. Mara moja Mashahidi wa Yehova waliunda halmashauri ya kutoa misaada ili kuwasaidia wale walioathiriwa na moto huo.