Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

TAARIFA ZA HABARI

Austria

AGOSTI 22, 2017

Mji wa Austria Wawakumbuka Mashahidi wa Yehova 31 Ambao ni Waathirika wa Utawala wa Nazi

Jiwe la msingi la Techelsberg lilifunguliwa kwa ajili ya kuwakumbuka Mashahidi wa Yehova waliouawa au kufungwa gerezani katika kambi za mateso za Wanazi wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu.

OKTOBA 7, 2015

Meya Aweka Jiwe la Msingi kwa Ajili ya Kijana Mwaustria Aliyeuawa na Wanazi

Gabriele Votava alitoa hotuba kumpa heshima Gerhard Steinacher, Shahidi wa Yehova aliyeuawa akiwa na umri wa miaka 19 kwa sababu ya kukataa kuunga mkono vita.

JULAI 21, 2014

Mashahidi wa Yehova Waheshimiwa kwenye Makumbusho ya Kambi ya Mateso ya Gusen

Aprili 13, 2014, jiwe la makumbusho liliwekwa ili kuwatambua Mashahidi 450 waliofungwa na Wanazi katika kambi ya mateso ya Mauthausen na ya Gusen nchini Austria.