Hamia kwenye habari

JANUARI 16, 2014
ARMENIA

Armenia Yawaachilia Waliofungwa kwa Sababu ya Dhamiri

Armenia Yawaachilia Waliofungwa kwa Sababu ya Dhamiri

Novemba 12, 2013, serikali ya Armenia iliwaachilia Mashahidi wote wa Yehova waliokuwa wamefungwa gerezani kwa kukataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri. Video hii inaonyesha jinsi kesi fulani ya kihistoria ilivyofikia upeo wake Mashahidi hao walipofunguliwa kutoka gerezani.