Kiswahili
“Nina Hakika Mateso Hayatanizuia Kuwa na Furaha”
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/702025063/univ/art/702025063_univ_sqr_xl.jpg

AGOSTI 5, 2025
URUSI

Ndugu Anatoliy Artamonov (kushoto) na Ndugu Aleksandr Krushevskiy (kulia)

“Nina Hakika Mateso Hayatanizuia Kuwa na Furaha”

“Nina Hakika Mateso Hayatanizuia Kuwa na Furaha”

Julai 29, 2025, Mahakama ya Wilaya ya Birobidzhanskiy iliyo katika Eneo Lililotengewa Wayahudi, iliwahukumu Ndugu Anatoliy Artamonov na Ndugu Aleksandr Krushevskiy kifungo cha nje cha miaka mitano kila mmoja. Hawahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kuwahusu

Hata iwe tunakabili changamoto gani, tunafarijika kujua kwamba Yehova hatawaacha kamwe wale ambao wanaendelea kuwa waaminifu kwake.​—Yoshua 1:5.