Kiswahili
HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU APEWA HUKUMU YA KAZI YA KULAZIMISHWA BAADA YA RUFAA | Ni Heshima Kubwa Kulitetea Jina la Yehova
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/702024108/univ/art/702024108_univ_sqr_xl.jpg

Ndugu Sergey Lukin

MEI 21, 2024 | HABARI ZIMEONGEZWA: MACHI 19, 2025
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU APEWA HUKUMU YA KAZI YA KULAZIMISHWA BAADA YA RUFAA | Ni Heshima Kubwa Kulitetea Jina la Yehova

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU APEWA HUKUMU YA KAZI YA KULAZIMISHWA BAADA YA RUFAA | Ni Heshima Kubwa Kulitetea Jina la Yehova

Machi 13, 2025, baada ya kesi ya rufaa kusikilizwa, Mahakama ya Eneo la Altai ilibadili hukumu ya kifungo cha nje ya Ndugu Sergey Lukin. Sasa atafanya kazi ya kulazimishwa kwa miaka minne na miezi sita. Atakaa gerezani na atakuwa akienda kufanya kazi alizopangiwa katika jamii.

Desemba 11, 2024, Mahakama ya Jiji la Biysk iliyo katika Eneo la Altai ilimhukumu Ndugu Sergey Lukin kifungo cha nje cha miaka minne na miezi sita. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunathamini sana mfano wa Sergey, ambao unatukumbusha kwamba upendo wetu kwa Yehova “hutupa woga nje.”​—1 Yohana 4:18.

Mfuatano wa Matukio

  1. Desemba 1, 2022

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  2. Januari 25, 2023

    Nyumba yake na ofisi yake zilifanyiwa msako. Alihojiwa na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  3. Januari 25, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza