Kiswahili
HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Yehova Atakuwa Pamoja Nami”
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/702024012/univ/art/702024012_univ_sqr_xl.jpg

Ndugu Aleksey Pasynkov

MEI 23, 2024 | HABARI ZIMEONGEZWA: JANUARI 21, 2025
URUSI

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Yehova Atakuwa Pamoja Nami”

HABARI ZA KARIBUNI—NDUGU AHUKUMIWA | “Yehova Atakuwa Pamoja Nami”

Januari 20, 2025, Mahakama ya Wilaya ya Urupskiy iliyo katika Jamhuri ya Karachayevo-Circassian ilimhukumu Ndugu Aleksey Pasynkov kifungo cha nje cha miaka sita. Hahitaji kwenda gerezani wakati huu.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunafurahi sana kujua kwamba hata ingawa tunakabili majaribu mbalimbali, sikuzote tunaweza kupata kimbilio na shangwe katika Yehova.​—Zaburi 5:11.

Mfuatano wa Matukio

  1. Novemba 23, 2021

    Wenye mamlaka walimkamata Aleksey kwenye eneo lake la kazi, kisha wakafanya msako nyumbani kwake

  2. Desemba 8, 2022

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  3. Machi 3, 2023

    Nyumba ilifanyiwa msako kwa mara ya pili. Aleksey na Yuliya wakahojiwa

  4. Machi 31, 2023

    Nyumba ya mama ya Aleksey na kaka zake zilifanyiwa msako

  5. Oktoba 4, 2023

    Aliwekewa vizuizi vya kusafiri

  6. Desemba 14, 2023

    Kesi ya uhalifu ilianza