Kiswahili
Matukio Muhimu Kihistoria—Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

Matukio Muhimu Kihistoria Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Matukio Muhimu Kihistoria Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
  1. SEPTEMBA 4, 2013—Waziri wa Elimu atoa amri ya kwamba wanafunzi ambao ni Mashahidi hawapaswi kufukuzwa shuleni kinyume cha sheria

    SOMA ZAIDI

  2. MEI 17, 1997—Nchi yabadili jina kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  3. JANUARI 8, 1993—Mahakama Kuu yafutilia mbali marufuku iliyowekwa na rais na kutangaza ni kinyume na sheria

  4. MACHI 12, 1986—Rais awapiga marufuku Mashahidi

  5. APRILI 30, 1980—Serikali yasajili upya shirika la kisheria la Mashahidi, Les Témoins de Jéhovah

  6. DESEMBA 1971—Serikali yafuta usajili wa Mashahidi

  7. OKTOBA 27, 1971—Serikali yabadili jina la nchi kuwa Jamhuri ya Zaire

  8. JUNI 9, 1966—Serikali yasajili shirika la kisheria la Mashahidi, Les Témoins de Jéhovah

  9. 1962—Mashahidi wafungua ofisi ya tawi jijini Léopoldville (sasa Kinshasa)

  10. JUNI 30, 1960—Jamhuri ya Kongo yapata uhuru

  11. JANUARI 20, 1949—Shirika la Watch Tower Society lapigwa marufuku katika Kongo ya Ubelgiji

  12. Miaka ya 1940—Kikundi cha kwanza cha Mashahidi wa Yehova chafanya ibada katika Kongo ya Ubelgiji