Kiswahili
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

  • 306,303—Idadi ya Mashahidi wa Yehova

  • 4,810—Makutaniko

  • 1,411,774—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka

  • 1 kwa 389—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini

  • 115,685,000—Idadi ya watu

2018-08-02

JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

Ndugu Kaskazini-Mashariki mwa Kongo Wakimbia Vita

Licha ya kupoteza makao, Mashahidi wa Yehova waliokimbia wanakutana kwa ajili ya ibada na wanashiriki kwa bidii tumaini lao linalotegemea Biblia.

2017-09-11

JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada kwa Watu Walioathiriwa na Vita Nchini Kongo

Mashahidi wa Yehova wanatoa misaada na kuwategemeza kiroho waabudu wenzao walioathiriwa na vita vinavyoendelea katika eneo la Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

2015-03-19

JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Yakataza Ubaguzi wa Kidini Shuleni

Wenye mamlaka walitenda kwa uthabiti ili kukataza shule zinazoendeshwa na makanisa kupuuza haki za wanafunzi. Zaidi ya watoto 300 wa Mashahidi wamefukuzwa shuleni isivyo haki kwa misingi ya kidini.