Kiswahili
Matukio Muhimu—Nchini Armenia
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

ARMENIA

Matukio Muhimu Nchini Armenia

Matukio Muhimu Nchini Armenia
  1. JANUARI 2014—Mashahidi wa kwanza kuruhusiwa kufanya utumishi wa kiraia wa badala walianza kazi yao

  2. NOVEMBA 12, 2013—Mashahidi wote wa Yehova waliobaki walifungwa kwa kukataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

  3. OKTOBA 23, 2013—Tume ya Jamhuri ya Armenia ilikubali kwa mara ya kwanza maombi ya utumishi wa badala wa kiraia

    SOMA ZAIDI

  4. JUNI 8, 2013—Armenia yafanya Mabadiliko ya Sheria kuhusu Utumishi wa Badala

  5. JULAI 7, 2011—Katika kesi ya Bayatyan v. Armenia, Baraza Kuu la Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu lilihalalisha haki ya kutojiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

  6. OKTOBA 8, 2004—Baada ya miaka tisa na majaribio 14, Armenia ilisajili kisheria Mashahidi wa Yehova

  7. 1993—Armenia yaanza kuwafunga gerezani vijana Mashahidi ambao walikataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri

  8. SEPTEMBA 21, 1991—Armenia yatangaza uhuru kutokana na Muungano wa Sovieti

  9. 1975—Kikundi cha kwanza cha Mashahidi wa Yehova chapanga ibada nchini Armenia